FORUM/MJADALA

WEDDING/HARUSI
  • Je ni nani anayestahili kununua vifaa vya bi harusi? Wazazi au Mume mtarajiwa? kuwa huru kutoa maombi yako


2 comments:

  1. Bi harusi kwakuwa haja olewa bado nadhani kwa mawazo yangu angenunuliwa vifaa na wazazi wake

    ReplyDelete
  2. ndugu msomaji, kwa mila na desturi za kiafrica arusi ni sherehe ambayo hufanywa kwa upande wa mume na sendoff ni sherehe ya upande wa mke...kwa maana hiyo basi upande wa mume bila kujali ni wazazi au kijana ndio watakaohusika na maandalizi yote ya harusi kuanzia mavazi hadi vyakula na vinginevyo vyote. hapo nina maana kuwa wazazi wa upande wa bibi harusi watakuwa wameshamuaga binti yao (sendoff)sasa upande wa mume wataona wenyewe wamchukue kwa harusi au njia za kienyeji..na kama ni kwa harusi mambo ya vifaa vya bi harusi yanawahusu. kwa upande mwingine bibi harusi huamua kutafuta vitu vyake mwenyewe, hii inategemea mapatano yao wenyewe yani bi & Bw.

    ReplyDelete


Labels