Monday, March 5, 2012

UJUMBE WA LEO (SHERIA)

MWANAMKE WA TANZANIA
Wakati ni wako na ni muhimu kwako kama mwanamke mwenye maendeleo kuwa na ufahamu wa sheria zinazomuhusu mwanamke kama sheria za ndoa, Mirathi, uangalizi na haki kwa mtoto wako, ili kuweza kuupinga unyanyasaji na ukandamizaji wa mwanamke katika jamii.
"Amka Mwanamke utetee Haki zako"
Usichoke kutembelea blog yako ya H&I ili upate habari mbalimbali kuhusu sheria
By. Janeth Saganya
Law Lecturer, Mount Meru University

1 comment:

  1. AMA KWELI MWANAMKE AMKA SASA TUENDESHE FAMILIA ZETU

    ReplyDelete

Labels