| Mitindo ya nywele inapompendezesha mwanamke |
|
Na Rehema Maigala KARIBUNI wapenzi wasomaji wetu wa safu hii muipendayo ya urembo, leo katika safu hii nimewaandalia mitindo mbalimbali ya nywele ambayo inayomfanya mwanamke kuonekana amependeza. Kila mwanamke ana nywele na nywele zinamfanya mwanamke kubadili sura yake na kuonekana amependeza kwani kila mtindo wa nywele unamfanya mwanamke kupendeza. |