Sunday, February 5, 2012

Mitindo ya nywele


Mitindo ya nywele inapompendezesha mwanamke
Na Rehema Maigala

KARIBUNI wapenzi wasomaji wetu wa safu hii muipendayo ya urembo, leo katika safu hii nimewaandalia mitindo mbalimbali ya nywele ambayo inayomfanya mwanamke kuonekana amependeza.

Kila mwanamke ana nywele na nywele zinamfanya mwanamke kubadili sura yake na kuonekana  amependeza kwani kila mtindo wa nywele unamfanya mwanamke kupendeza.

Friday, February 3, 2012

FASHION

Fashionista of the day, akiwa matembezini Mt. Kilimanjaro, Lol!


Thursday, February 2, 2012

Profesa Mwandosya arudi India

*Dkt. Mwakyembe aonekana ofisini mara moja

WAZIRI wa Maji, Profesa Mark Mwandosya, ameondoka nchini juzi kwenda India
ili kuangalia maendeleo ya afya yake ambapo Naibu Waziri wa Ujenzi, Dkt. Harrison Mwakyembe, akidaiwa kuripoti ofisini mara moja tangu arejee nchini.

Maiti ya jambazi Arusha yazua 'kasheshe'


Ndugu wasusa mwili mochari, wachukuliwa na Mchungaji 

NDUGU wa jambazi sugu aliyeuawa na polisi Januari 13
mwaka huu, Bw. Pokea Kayaa (45), maarufu 'Steven Kaunda', wamesusa kuchukua maiti yake katika Hospitali ya Mount Meru, mjini Arusha.
Kutokana na hali hiyo, Mchungaji wa Kanisa la Tumaini Assemblies of God, wilayani Arumeru, Amani Silanga, akiwa na baadhi ya watu waliomfahamu Bw. Kaaya, walilazimika kwenda hospitali kuchukua mwili huo na kuusafirisha jijijini kwake Nkoanrua.

Richie kuingiza Diana sokoni

MSANII nyota wa filamu nchini, Single Mtambalike 'Richie' anatarajia kuingiza sokoni, filamu yake mpya inayokwenda kwa jina la Diana.



Bongo Dar es Salaam kurudi tena

MSANII nyota wa tasnia ya filamu nchini, Kurwa Kikumba 'Dude' anatarajia kuingiza sokoni filamu ya Bongo Movie mwezi Februari mwaka huu.




Labels