Tuesday, January 24, 2012

Je kuimba ni kipaji tu au unaweza Kufanya mazoezi ukafanikiwa kujua kuimba?

3 comments:

  1. Upande wangu naona unaweza kuimba kwa kujifunza tu hata kama hapo mwanzo hukujua kuimba, kwa kufanya mazoezi ya kuimba ukawa poa tu

    ReplyDelete
  2. kuimba ni kipaji vilevile mtu akifanya mazoezi anafanikiwa/anaweza, so vyote nakubali

    ReplyDelete
  3. kuimba ni kipaji, hata ukifanya mazoezi kama si kipaji utalazimisha lakini hautavutia! ingawa wengi hawajui vipaji vyao mpaka wafanye mazoezi!

    ReplyDelete


Labels