Wednesday, January 25, 2012

Mrs. Lilian Buhatwa HRM MOUNT MERU UNIVERSITY 
Need for lectures
Chuo kikuu cha Mount Meru kilichopo jijini arusha kinatangaza nafasi za kazi zifuatazo:
1. Waalimu
Wanahitajika waalimu wa kufundisha chuo katika tawi la Mwanza na Arusha wenye sifa zifuatazo.

• Awe na shahada ya kwanza ya elimu au biashara.
• Awe na shahada ya pili (Masters) ya elimu au biashara.
• Awe na uzoefu wa kufundisha usio pungua miaka mitatu.

2. Secretaries
• Awe na Diploma ya secretary
• Awe na uzoefu usio pungua miaka mitatu.

3. Receptionist
• Awe na Diploma ya secretary
• Awe na uzoefu usio pungua miaka mitatu.

Maombi ya kazi yatumwe kwa:
Afisa rasilimali watu,
Chuo kikuu cha Mount Meru,
S.L.P 11811,
Arusha.

wakazi wa Mwanza wanaweza kupeleka maombi ya kazi Kwenye Ofisi Zetu zilizopo eneo la Capri point, karibu na chuo cha benki kuu (BOT)barabara iendayo Tilapia Hotel.

Wisho wa kutuma maombi ni 31/1/2012.

1 comment:

  1. Wow my University now is expanding up to Mwanza congratulations. I will apply also.

    ReplyDelete

Labels