Monday, January 30, 2012

TUIMBE PAMOJA

HAYA TENA WAPENZI WA MUZIKI WA DINI KAZI NI KWAKO
Tuimbe pamoja ni kundi lililoanzishwa na Mr. Ahadi Sagatti na Daniel Bulengela. Hadi sasa wameshatoa album zao zipatazo 2 na hii ya pili ndo kwanza imeingia iko sokoni sasa, wapenzi wa Muziki wa dini kazi ni kwenu zinapatikana kwa bei nafuu na zenye ubora wa hali ya juu, wahi copy yako kabla hazijaisha. Kwa maelezo zaidi jinsi ya kuzipata piga simu namba 0655 356 380


HII NI ALBUM YA KWANZA

ALBUM YAO YA PILI

2 comments:


Labels